Timu za Mpira wa Miguu 10 Tajiri Kuliko Zote Duniani
Timu za Uingereza ndizo zinazoongoza kwa kuwa na jumla ya timu tano (Man United, Mancity, Chelsea, Arsenal na Liverpool) kwenye orodha ya timu 10 tajiri zaidi duniani na zote zikiwa na dhamani ya dola za kimarekani bilioni 8.112, zikifuatiwa na timu mbili (Real Madrid na FC Barcelona) za Uhispania zenye jumla ya dhamani ya dola za kimarekani bilioni 6.43. Timu ya Ujerumani ya Bayern Munich ndio pekee iliyo kwenye 10 bora ina dhamani ya dola za kimarekani bilioni 2.34 huku timu mbili za Uitaliano (Juventus na AC Milan ) zote zikiwa na dhamani ya dola za kimarekani bilioni 1.612
Timu Tajiri kwa Dhamani ya Timu
| Jina | Thamani Timu | Mapato ya Mwaka | Nchi | Jina rasmi ya ligi |
| 1. Real Madrid | $3.26 bilioni | $746 milioni | Spain | La Liga |
| 2. Barcelona | $3.17 bilioni | $657 milioni | Spain | La Liga |
| 3. Manchester United | $3.10 bilioni | $703 milioni | UK | Barclays Premier League |
| 4. Bayern Munich | $2.34 bilioni | $661 milioni | German | Bundesliga |
| 5. Manchester City | $1.37 bilioni | $562 milioni | UK | Barclays Premier League |
| 6. Chelsea | $1.36 bilioni | $526 milioni | UK | Barclays Premier League |
| 7. Arsenal | $1.30 bilioni | $486 milioni | UK | Barclays Premier League |
| 8. Liverpool | $982 milioni | $415 milioni | UK | Barclays Premier League |
| 9. Juventus | $837 milioni | $379 milioni | Italy | Serie A |











No comments:
Post a Comment